Muslim Library

Surah Al-Qari'ah ( The Striking Hour )

Swahili

Surah Al-Qari'ah ( The Striking Hour ) - Aya count 11
Facebook Twitter Google+ Pinterest Reddit StumbleUpon Linkedin Tumblr Google Bookmarks Email
الْقَارِعَةُ ( 1 ) Al-Qari'ah ( The Striking Hour ) - Aya 1
Inayo gonga!
مَا الْقَارِعَةُ ( 2 ) Al-Qari'ah ( The Striking Hour ) - Aya 2
Nini Inayo gonga?
وَمَا أَدْرَاكَ مَا الْقَارِعَةُ ( 3 ) Al-Qari'ah ( The Striking Hour ) - Aya 3
Na nini kitacho kujuilisha nini Inayo gonga?
يَوْمَ يَكُونُ النَّاسُ كَالْفَرَاشِ الْمَبْثُوثِ ( 4 ) Al-Qari'ah ( The Striking Hour ) - Aya 4
Siku ambayo watu watakuwa kama nondo walio tawanyika;
وَتَكُونُ الْجِبَالُ كَالْعِهْنِ الْمَنفُوشِ ( 5 ) Al-Qari'ah ( The Striking Hour ) - Aya 5
Na milima itakuwa kama sufi zilizo chambuliwa!
فَأَمَّا مَن ثَقُلَتْ مَوَازِينُهُ ( 6 ) Al-Qari'ah ( The Striking Hour ) - Aya 6
Basi yule ambaye mizani yake itakuwa nzito,
فَهُوَ فِي عِيشَةٍ رَّاضِيَةٍ ( 7 ) Al-Qari'ah ( The Striking Hour ) - Aya 7
Huyo atakuwa katika maisha ya kupendeza.
وَأَمَّا مَنْ خَفَّتْ مَوَازِينُهُ ( 8 ) Al-Qari'ah ( The Striking Hour ) - Aya 8
Na yule ambaye mizani yake itakuwa khafifu,
فَأُمُّهُ هَاوِيَةٌ ( 9 ) Al-Qari'ah ( The Striking Hour ) - Aya 9
Huyo maskani yake yatakuwa Moto wa Hawiya!
وَمَا أَدْرَاكَ مَا هِيَهْ ( 10 ) Al-Qari'ah ( The Striking Hour ) - Aya 10
Na nini kitacho kujuilisha nini hiyo?
نَارٌ حَامِيَةٌ ( 11 ) Al-Qari'ah ( The Striking Hour ) - Aya 11
Ni Moto mkali!
Facebook Twitter Google+ Pinterest Reddit StumbleUpon Linkedin Tumblr Google Bookmarks Email

Select language

Select surah